MKOANI TUNATUMA
MTEJA WA MKOANI
Kwa wateja wa mikoani na nje ya nchi tunawatumia
Mikoani tunakutumia kwa bus au kwa malori ya mizigo na unalipia ndio mzigo unafungwa unatupa jina na namba ya simu tunaweka juu ya mzigo na tunakukutumia picha za mzigo ni ili ujue box ngapi na picha za risiti za transporter husika na mizigo ukifika mteja utajulishwa au utawapigia kujua mzigo umefikia wapi..
Na gharama za usafiri ni juu ya mteja. Au unaweza kumuagiza mtu ambaye yupo dar unaemfahamu atakuja kukuchukulia kwa niaba yako. Au unaweza kufika mwenye moja kwa moja ofisini kwetu..
KARIBU #TUKUSHAURI NA #KUKUELIMISHA KABLA YA KUNUNUA
KWA ODA NA MAELEKEZO ZAIDI
TUPO #KARIAKOO DAR
thegreatsolar.blogspot.com
thegreatsolar@gmail.com
📞+255 684 943 062
☎️+255 712 082 915
KARIBU SANA
#wasafimedia #wcb #diamondplatnumz #wasafitv #wasafifestival #alikiba #millardayoupdates #wasafifm #wemasepetu #harmonize #kondegang #zarithebosslady #rayvanny #wcbwasafi #millardayo #zuchu #kondeboy #idrissultan #trends #yangasc #kingkiba #cloudsmedia #hamisamobetto #jokatemwegelo #simbasc #nandy #kariakoo #harmonize #daressalaam



Comments
Post a Comment