SOLAR SYSTEM WITH TV AND AZAM DISH
System zetu zenye TV na king'amuzi pia. kuna ya Tshs 1,050,000/= tu ikiwa na Tv nchi "32" Pia ipo ya 850,000/= tu ikiwa na Tv nchi "24"
Hapo zinakua na kila kitu ipokua kufungiwa tu ndio gharama nyingine.
But hapo inainclude
Panel,betri,charge controller, chaja ya simu, taa zake, na waya zake zote, na king'amuzi cha dish cha Azam



Comments
Post a Comment